Inserting a Gastric Tube

Kuingiza mrija wa tumboni

Filamu hii inafundisha jinsi ya kuamua kama inahitajika kumlisha mtoto kwa kutumia mpira maalumu (gastric tube) na jinsi ya kuweka moja kwa njia salama. Inafundisha jinsi ya kutayarisha vifaa, kupima, kuingiza mpira, kuangalia kama imeingia, na kuipiga piga katika mahali.

Download Video

Join the Conversation

Subscribe
Notify of
guest

0 Comments
Inline Feedbacks
View all comments