Filamu hii inaonyesha jinsi ya kuingiza mrija mdogo (IV) katika mshipa mdogo wa mtoto mchanga. Inaelezea jinsi ya kutayarisha vifaa, kupata mshipa mzuri, kutumia kitamba, jinsi ya kuingiza, kupiga piga na kufunga mrija kwa banzi, na kuangalia matumizi ya dawa.